iqna

IQNA

darul quran
Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Wahifadhi na wasomaji Qur'ani kutoka nchi 12 walishiriki katika toleo la mwaka huu la mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran.
Habari ID: 3478045    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Harakati za Qur'ani
Mkuu wa Kituo cha Dar-ul-Quran na Sunnah cha Gaza huko Palestina amesema zaidi ya wahifadhi 1,000 wa Qur'ani Tukufu wanatarajiwa kuhitimu kutoka kituo hicho mwishoni mwa majira ya kiangazi.
Habari ID: 3477117    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya nusu fainali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran inaendelea.
Habari ID: 3476201    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05

TEHRAN (IQNA)- Vituo vya Masomo ya Qur’ani vya Baraza la Jiji la Tehran vitaanza tena masomo ya ana kwa ana baada ya kufungwa kwa muda mrefu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474570    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17

TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23

TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 2.2. za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3473461    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16